Mazingira - Hali ya hewa ya Mvua

indgår i Saga Sounds serien

Bag om Mazingira - Hali ya hewa ya Mvua

Tulia ukisikiliza sauti za maumbile. Nje ya dirisha upepo wa baridi unavuma kwenye miti. Mvua inanyesha kimahadhi, na mara kwa mara, sauuti ya radi inaweza kusikiika kwa mbali. Ndani, kuna joto na ni salama, na sauti za hali ya hewa zinakuvutia ulale. Utafiti umeonyesha kwamba sauti za maumbile zinaweza kuwa na athari ya kutuliza na kusisimua kwenye ubongo. Sauti za Saga ni mfuatano wa sauti maridadi na mbalimbali za mazingira, ambazo unaweza kusikiliza ili kutulia, ukienda kulala au ukiwa kazini. Sauti iliyobuniwa vizuri huunda mazingira ya kutuliza, yanayojulikana pia kama "mazingira", ambayo unaweza kuyaingia mahali popote na wakati wowote utakao. Sauti za Saga ni mfuatano wa sauti maridadi na mbalimbali za mazingira, ambazo unaweza kusikiliza ili kutulia, ukienda kulala au ukiwa kazini.

Vis mere
  • Sprog:
  • Swahili
  • ISBN:
  • 9788726266566
  • Format:
  • MP3
  • Beskyttelse:
  • Digital vandmærkning
  • Udgivet:
  • 19. juli 2019
  • Oplæser:
  • Rasmus Broe
Leveringstid: Straks på e-mail

Beskrivelse af Mazingira - Hali ya hewa ya Mvua

Tulia ukisikiliza sauti za maumbile.
Nje ya dirisha upepo wa baridi unavuma kwenye miti. Mvua inanyesha kimahadhi, na mara kwa mara, sauuti ya radi inaweza kusikiika kwa mbali. Ndani, kuna joto na ni salama, na sauti za hali ya hewa zinakuvutia ulale.
Utafiti umeonyesha kwamba sauti za maumbile zinaweza kuwa na athari ya kutuliza na kusisimua kwenye ubongo. Sauti za Saga ni mfuatano wa sauti maridadi na mbalimbali za mazingira, ambazo unaweza kusikiliza ili kutulia, ukienda kulala au ukiwa kazini. Sauti iliyobuniwa vizuri huunda mazingira ya kutuliza, yanayojulikana pia kama "mazingira", ambayo unaweza kuyaingia mahali popote na wakati wowote utakao.
Sauti za Saga ni mfuatano wa sauti maridadi na mbalimbali za mazingira, ambazo unaweza kusikiliza ili kutulia, ukienda kulala au ukiwa kazini.