Kufanya Mapenzi Ndani ya Gari - Hadithi Fupi ya Mapenzi

Bag om Kufanya Mapenzi Ndani ya Gari - Hadithi Fupi ya Mapenzi

"Anatabasamu anapofikiria kuhusu wakati walipoendesha gari kwenda msituni. Aliegesha gari kwenye barabara ndogo yenye vumbi kando ya msitu. Zamani wakati kulikuwa na joto walilazimika kufungua madirisha ili kutulia. Zamani wakati harufu ya nyasi iliyojaa umande na wimbo wa ndege uliwatumbuiza wakiwa ndani ya gari. Zamani wakati alitoa sauti za upeo wa raha ya kujamiiana, na kufanya ndege kuwa kimya." Hadithi hii fupi imechapishwa kwa kushirikiana na Mtayarishaji filamu wa Uswidi, Erika Lust. Lengo lake ni kuonyesha hali na utofauti wa mwanadamu kupitia uchu, vitendo vya kimapenzi, ashiki na upendo kwa kuchanganya na hadithi nzito na za kutia ashiki. Sarah Skov ni jina bandia la mwandishi mdogo wa kike. Ameandika pia hadithi fupi za kutia ashiki kama vile Kumbukumbu Zako, Hamu ya Kumpata Owen Gray na Erika Lust, Kula Nami na Mwanaume Mtetezi wa Wanawake

Vis mere
  • Sprog:
  • Swahili
  • ISBN:
  • 9788726216608
  • Format:
  • ePub
  • Beskyttelse:
  • Digital vandmærkning
  • Udgivet:
  • 11. september 2019
  • Oversætter:
  • - Lust
Leveringstid: Straks på e-mail

Beskrivelse af Kufanya Mapenzi Ndani ya Gari - Hadithi Fupi ya Mapenzi

"Anatabasamu anapofikiria kuhusu wakati walipoendesha gari kwenda msituni. Aliegesha gari kwenye barabara ndogo yenye vumbi kando ya msitu. Zamani wakati kulikuwa na joto walilazimika kufungua madirisha ili kutulia. Zamani wakati harufu ya nyasi iliyojaa umande na wimbo wa ndege uliwatumbuiza wakiwa ndani ya gari. Zamani wakati alitoa sauti za upeo wa raha ya kujamiiana, na kufanya ndege kuwa kimya."
Hadithi hii fupi imechapishwa kwa kushirikiana na Mtayarishaji filamu wa Uswidi, Erika Lust. Lengo lake ni kuonyesha hali na utofauti wa mwanadamu kupitia uchu, vitendo vya kimapenzi, ashiki na upendo kwa kuchanganya na hadithi nzito na za kutia ashiki.
Sarah Skov ni jina bandia la mwandishi mdogo wa kike. Ameandika pia hadithi fupi za kutia ashiki kama vile Kumbukumbu Zako, Hamu ya Kumpata Owen Gray na Erika Lust, Kula Nami na Mwanaume Mtetezi wa Wanawake