Bøger på Swahili

Filter
Filter
Sorter efterSorter Nyeste
  • af Jesper Nicolaj Christiansen
    9,95 kr.

    Ronin anakumbana na changamoto kali na kujifunza kuwa wakati mwingine, hata katika maadui, kuna mengi zaidi ya tunavyofikiri. Anapojifunza kuhusu maisha yake ya zamani, baba yake na mkuki, maswali mengi zaidi yanaibuka. Katika tukio la hivi karibuni, Ronin alikaribia kujua yeye ni nani na jinsi gani anaweza kuwasaidia wale wote anaowajali sana.Mvulana anaamka msituni bila kukumbuka ya yeye ni nani au atokako. Kupitia mfululizo huu, Ronin anapitia matukio mengi ambayo yanamsukuma ukingoni. Njiani, anakutana na watu ambao wanamsaidia kukua na kujifunza mambo yaliyo muhimu. Kwa usaidizi wa mkuki wake wa ajabu na nguvu anazozipata kutoka kwenye mkuki huu, Ronin anapigana kwa wema. Kwa kila tukio jipya, Ronin anakaribia zaidi na zaidi kujitambua hakika yeye ni nani.Jesper Christiansen (b. 1972) ni mwandishi wa asili ya Kideni. Amehitimu katika Shule ya Uandishi wa Hadithi za Watoto na yeye huandika hadithi za matukio na za kubuni za watoto wa kila umri.

  • af Daniel Zimakoff
    9,95 kr.

    Mpira wa miguu sio kuhusu kuishi au kifo – ni muhimu sana!Jake, Nick, Peter na wachezaji wengine wa FC Mezzi wanafanya vizuri kwenye mashindano. Lakini je, wanaweza kushinda na kupanda hadi ligi kuu? Haijawahi kutokea kwenye timu ya mchanganyiko hapo awali. Wapinzani wao ni wazuri sana na wachezaji wa FC Mezzi ni majeruhi. Ni vigumu kuwapata wachezaji wapya kwa muda huu mfupi, lakini inatokea hivyo kwamba mvulana mpya amelekea mjini. Ana jina maarufu la: Zlatan. Lakini je, anaweza kucheza mpira wa miguu? Na je, anapenda kufanya hivyo?Mpira wa miguu sio kuhusu kuishi au kufa – ni muhimu sana! \n\nJake na marafiki zake walianzisha timu yao wenyewe, FC Mezzi. Tunafuatilia michezo yao ya mazoezi, mashindano na ya kirafiki ya zamani na mipya. Pia kuna mambo ya mapenzi kidogo. \n\nMfululizo huu unahusu kufurahia michezo!Daniel Zimakoff alizaliwa mwaka 1956 na mkutubi aliyesomea. Kwa mara ya kwanza mwaka 1980 aliandika mfurulizo mkubwa wa vitabu vya watoto na ashawahi kupata Tuzo ya Vitabu vya Watoto kuto kwenye wizara ya utamaduni.

  • af Jesper Nicolaj Christiansen
    9,95 kr.

    Ronin anakutana na rafiki wa zamani na anaanza kujifunza kwa kutumia sensei wake, ambapo anajifunza kuwa hakuna lisilowezekana. Matukio yake yanakuwa mengi anapokuwa akiwatetea wanyonge na akiutumia uwezo wake vyema. Ronin anajifunza mengi kuhusu yeye mwenyewe, na inawezekana, pia kuhusu anakotoka.Mvulana anaamka msituni bila kukumbuka ya yeye ni nani au atokako. Kupitia mfululizo huu, Ronin anapitia matukio mengi ambayo yanamsukuma ukingoni. Njiani, anakutana na watu ambao wanamsaidia kukua na kujifunza mambo yaliyo muhimu. Kwa usaidizi wa mkuki wake wa ajabu na nguvu anazozipata kutoka kwenye mkuki huu, Ronin anapigana kwa wema. Kwa kila tukio jipya, Ronin anakaribia zaidi na zaidi kujitambua hakika yeye ni nani.Jesper Christiansen (b. 1972) ni mwandishi wa asili ya Kideni. Amehitimu katika Shule ya Uandishi wa Hadithi za Watoto na yeye huandika hadithi za matukio na za kubuni za watoto wa kila umri.

  • af Rasmus Broe
    20,99 kr.

    Tulia ukisikiliza sauti za maumbile.Miali ya jua inatulia juu ya matawi ya miti ya kijani, ambayo inapeperushwa polepole na upepo. Ndege zinacheza na kuimba, na kwa mbali, unasikia kijito tulivu kinachoropoka maneno. Uko katika msitu mzuri na mtulivu, peke yako na muziki wa maumbile.Utafiti umeonyesha kwamba sauti za maumbile zinaweza kuwa na athari ya kutuliza na kusisimua kwenye ubongo. Sauti za Saga ni mfuatano wa sauti maridadi na mbalimbali za mazingira, ambazo unaweza kusikiliza ili kutulia, ukienda kulala au ukiwa kazini. Sauti iliyobuniwa vizuri huunda mazingira ya kutuliza, yanayojulikana pia kama "mazingira", ambayo unaweza kuyaingia mahali popote na wakati wowote utakao.Sauti za Saga ni mfuatano wa sauti maridadi na mbalimbali za mazingira, ambazo unaweza kusikiliza ili kutulia, ukienda kulala au ukiwa kazini.

  • af Rasmus Broe
    20,99 kr.

    Tulia ukisikiliza sauti za maumbile.Nje ya dirisha upepo wa baridi unavuma kwenye miti. Mvua inanyesha kimahadhi, na mara kwa mara, sauuti ya radi inaweza kusikiika kwa mbali. Ndani, kuna joto na ni salama, na sauti za hali ya hewa zinakuvutia ulale.Utafiti umeonyesha kwamba sauti za maumbile zinaweza kuwa na athari ya kutuliza na kusisimua kwenye ubongo. Sauti za Saga ni mfuatano wa sauti maridadi na mbalimbali za mazingira, ambazo unaweza kusikiliza ili kutulia, ukienda kulala au ukiwa kazini. Sauti iliyobuniwa vizuri huunda mazingira ya kutuliza, yanayojulikana pia kama "mazingira", ambayo unaweza kuyaingia mahali popote na wakati wowote utakao.Sauti za Saga ni mfuatano wa sauti maridadi na mbalimbali za mazingira, ambazo unaweza kusikiliza ili kutulia, ukienda kulala au ukiwa kazini.

  • af Rasmus Broe
    20,99 kr.

    Tulia ukisikiliza sauti za maumbile.Kuni katika mahali pa kuotea moto zinachomeka, na joto linaenelea ndani ya chumba. Saa ya zamani inaendelea kugonga, na paka anajinyoosha na kukoroma sakafuni. Umekaa kwenye kiti chenye starehe, ukitulia huku ukifirikia moto ulio mbele yako.Utafiti umeonyesha kwamba sauti za maumbile zinaweza kuwa na athari ya kutuliza na kusisimua kwenye ubongo. Sauti za Saga ni mfuatano wa sauti maridadi na mbalimbali za mazingira, ambazo unaweza kusikiliza ili kutulia, ukienda kulala au ukiwa kazini. Sauti iliyobuniwa vizuri huunda mazingira ya kutuliza, yanayojulikana pia kama "mazingira", ambayo unaweza kuyaingia mahali popote na wakati wowote utakao.Sauti za Saga ni mfuatano wa sauti maridadi na mbalimbali za mazingira, ambazo unaweza kusikiliza ili kutulia, ukienda kulala au ukiwa kazini.